fbpx
Previous
Previous Product Image

Pius Bakengera Ngeze: Maisha Yake na Baada ya Miaka 70

Sh 5,000,000.00
Next

Maisha na Harakati za Kazimoto

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano

Sh 2,000,000.00

Maisha Yangu : Alhaji Abubakar Rajabu Galiatanoni kitabu kinachoonyesha safari ndefu ya maisha yake. Chimbuko na asili ya ukoo wa Galiatano, maisha yake, mahangaiko na mafanikio yake. Kitabu hiki kinadhihirisha jinsi mtu anavyoweza kupanda ngazi na kufikia kileleni, maadamu anayo dhamira ya kweli. Mzee Abubakar Galiatano hakubahatiwa kupata elimu ya juu, lakini elimu ya Shule ya Msingi ilimwezesha kuwa Rais wa Shirika la Taifa la Usafirishaji (NTC), kumiliki malori na magari madogo, kujenga nyumba kadhaa za kuishi na za biashara ikiwa ni pamoja na Nyumba za Kulala Wageni na Hoteli ya New Banana Hotel. Kwa hakika mfano wake ni wa kuigwa na kitabu hiki kitawatia moyo wanaukoo, wanafamilia yake na watu wengi sana.
Ni kitabu kizuri. Nashauri kisomwe na watu wengi, maana yamo mambo mengi ya kujifunza.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Alhaji A.R. Galiatano

Language

Kiswahili

Part #

P13TEPU1

ISBN

978 9987 07 013 8

Publication Year

2008

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping