fbpx
Previous
Previous Product Image

Dhuluma ya Haki

Sh 5,000,000.00
Next

Tusiwahukumu Changudoa

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Kuvunjika kwa Koleo si Mwisho wa Uhunzi

Sh 5,000,000.00

Maelezo Mafupi ya Kitabu

Mwandishi ni Mwalimu. Anamweleza mhusika mkuu, Rita Koku, kuwa ni msichana mzuri mwenye umbo la kupendeza na mwenye tabia nzuri. Rita ni kifungua mimba wa Bwana na Bibi Philipo. Kutokana na tabia yake nzuri wazazi wake walimpenda sana. Alifanikiwa kusoma hadi Kidato cha Nne na kupata sifa za kuweza kujiunga na Chuo cha Ualimu.

Lakini, Rita hakupenda kwenda chuo hicho. Wazazi wake walimshawishi aende chuoni ila Rita hakukubaliana nao. Wakamkabidhi biashara ya duka la rejareja. Akiwa dukani hapo vijana wa aina mbalimbali walitumia nafasi hii kumtafuta kimapenzi. Rita hakuwa msichana mwenye papara, hivyo, hakupenda kujirahisi kwa wanaume hao. Baadaye Rita aliamua kupendana na kijana aitwae Leonard, kwa kifupi Lenny. Hatimaye Lenny alimweleza Rita kwamba alitaka amuoe. Baada ya Rita kufikiri kwa siku kadhaa alimkubalia. Walipima UKIMWI na kukutwa hawana virusi vya ugonjwa huo.

Rita alimweleza mama yake habari za kumpata mchumba. Lakini, mama yake hakukubaliana naye kwa sababu wazazi hawa walishamwandalia mvulana wa kumuoa, ambaye alikuwa bado yuko masomoni.
Rita alijichukulia uamuzi, akaolewa na Lenny, wakahamia Mwanza. Huko Lenny hakutaka Rita atembelee majirani. Rita akiwa mjamzito, Lenny alipata safari na Rita alitumia muda huo kwenda kwa jirani yake Bi Amina ambaye alimjulisha kuwa Lenny alikuwa jambazi sugu. Ni nini kilimpata Rita ambaye anapata habari hizi akiwa mjamzito? Je, wazazi wa Rita wana hali gani baada ya Rita kutoroshwa nyumbani?
Soma hadithi hii ya kusisimua uyajue haya.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Mary P. Kuhumuliza

Language

Kiswahili

Part #

P31TEPU3

ISBN

978 9987 426 29 4

Publication Year

2017

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kuvunjika kwa Koleo si Mwisho wa Uhunzi”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping