fbpx
Previous
Previous Product Image

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi

Sh 5,000,000.00
Next

Ufugaji Bora wa Sungura

Sh 5,000.00
Next Product Image

Kutoka Uchungaji Kwenda Ufugaji

Sh 5,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 4 chapters:
1. Hali ya Uchungaji ilivyo nchini.
2. Nyanda za malisho ya asili nchini na uboreshaji wake.
3. Mambo muhimu ya kufikiria kabla ya kuamua kuanza ufugaji.
4. Maana ya ufugaji na kanuni za ufugaji bora.

Brief Summary
The book is about Traditional Versus Modern Livestock Husbandry.

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Kutoka UCHUNGAJI Kwenda UFUGAJI ni kitabu kinachoeleza hali ya ufugaji nchini ilivyo: Tumetoka wapi, Tumefika wapi na tunapaswa kuelekea wapi. Safari yenyewe ni ndefu. Wananchi wengi wanaomiliki mifugo, hasa ng’ombe, mbuzi, kondoo n.k. wanachunga, hawafugi. Matokeo yake ni uharibifu wa mazingira, kuenea kwa magonjwa ya mifugo, mifugo kukonda, ukuaji wake hudumaa na mifugo hutoa maziwa na nyama kidogo. Kitabu kinajenga hoja kuwa, kwa vile taifa limeamua kuachana na umaskini, lazima wenye mifugo waache kuchunga na badala yake wafuge. Kitabu kinaeleza namna ya kufikia azma hiyo.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P18TEPU3

ISBN

978 9987 426 17 4

Publication Year

2007

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kutoka Uchungaji Kwenda Ufugaji”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping