fbpx
Previous
Previous Product Image

Utengenezaji na Matumizi ya Mbolea vunde katika Kilimo

Sh 5,000,000.00
Next

Mbolea za Viwandani

Sh 4,000,000.00
Next Product Image

Kutengeneza na Kutumia Mboji katika Kilimo

Sh 4,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili has the following 7
chapters:
1. Mboji
2. Kazi za Mbolea Katika Ustawishaji wa Mazao
3. Mbolea za Mifugo
4. Samadi
5. Mbolea nyingine za Mifugo
6. Mbolea nyingine za asili
7. Mbolea kutokana na Marejea

Brief Summary
The book is about Organic Manures: how they are made, how they are kept, how to use them and its advantages to the soil and the farmer:

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Kitabu hiki kinahusu Mbolea za Asili. Mbolea za asili hutokana na viumbe hai, yaani, wanyama na mimea. Virutubisho vilivyo katika mbolea hizi vilitumika kwanza katika kustawisha mimea hiyo au
katika kulisha wanyama hao. Mbolea za asili kwa pamoja huitwa Mboji. Kitabu hiki kinahusu kilimo cha kutumia mboji. Kinatoa maelezo kamili kuhusu mbolea za asili na jinsi ya kurutubisha ardhi ya kilimo bila kutumia mbolea za viwandani. Maelezo hayo ni pamoja na maelezo ya msingi yanayozihusu, jinsi ya kuzitengeneza na kuzitumia bila gharama kubwa na bila uharibifu kwa mimea na udongo wenyewe.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU13

ISBN

9789987671816

Publication Year

2014

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kutengeneza na Kutumia Mboji katika Kilimo”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping