fbpx
Previous
Previous Product Image

Mabaraza na Mahakama za Ardhi Tanzania

Sh 5,000,000.00
Next

Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Kutathmini Mali na Makosa ya Uharibifu Wake

Sh 5,000,000.00

Maelezo mafupi
Kitabu hiki kina sura mbili: sura ya 1 inahusu namna ya Kutathmini Mali ambazo ni pamoja na ardhi, mazao shambani, majengo, mifugo, shamba la miti, vyombo vya (usafiri) vya moto na visivyokuwa vya moto, mali zilizo madukani, viwanda n.k. Aidha, kinaelezea sifa za Mtathmini, vigezo vya kutumia katika kufanya tathmini n.k.
Sura ya 2 inahusu Makosa yanayohusu Uharibifu wa Mali zilizotajwa hapo juu na Utaratibu wa kisheria wa kufuata ili mhusika aweze kupata fidia kwa uharibifu wa mali zake.
Mwandishi wa kitabu hiki ni Wakili mwandamizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwandishi wa vitabu zaidi ya 15 juu ya namna wananchi wanavyoweza kupata haki zao kwa mujibu wa sheria za nchi hii.
Kitabu hiki ni cha msaada mkubwa kwa watu wote wanaomiliki haidhuru mojawapo ya mali zilizotajwa hapo. Kitawafaa pia Wanavyuo vya Vyuo vinavyofundisha sheria, Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Wanasheria.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

A.K. Chamani

Language

Kiswahili

ISBN

978 9987 07 086 2

Part #

P25TEPU5

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kutathmini Mali na Makosa ya Uharibifu Wake”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping