fbpx
Previous
Previous Product Image

Mvua Yenye Balaa

Sh 3,000,000.00
Next

Panya Mahakamani

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Kitenge cha Shangazi

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi ya kisa cha msichana anayeitwa Tunu. Tunu anachukua Kitenge cha Shangazi yake na kukivaa bila idhini yake. Anakwenda nacho harusini pamoja na rafiki yake. Wakati anacheza ngoma kitenge kinadondoka na kupotea. Anaporudi nyumbani Shangazi yake anamgombeza. Mwanzoni, Tunu anaonyesha ukorofi kwa Shangazi yake. Hakumwomba msamaha kamwe. Anaondoka nyumbani na kuanza kutangatanga akitafuta kazi na mahali pa kuishi. Hatimaye maisha yanakuwa magumu kwake, anaamua kurudi kwa Shangazi yake na kumwomba msamaha. Anasamehewa.

Brief Summary
The Kitenge of the Aunt. Kitenge is a special dress for women in East African countries. One day a young girl called Tunu put on her Aunt’s Kitenge without her permission and went for a celebration. During the latter, it got lost. when she returned home, she was reprimanded, but refused to apologise to her. Instead she ran away from the home of the Aunt, but eventually returned after meeting hardships and apologised to her Aunt, Mpeja, who forgave her.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Serapion Karoli

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU7

ISBN

978 9987 671 04 5

Publication Year

2012

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kitenge cha Shangazi”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping