fbpx
Previous
Previous Product Image

Mapinduzi ya Kilimo kwa Kutumia Zana Bora za Kilimo

Sh 4,000,000.00
Next

Utengenezaji na Matumizi ya Mbolea vunde katika Kilimo

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Kilimo cha Umwagiliaji

Sh 4,000,000.00

Brief Summary
The book is about Farm Irrigation.

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Kilimo cha Umwagiliaji ni kitabu kinachobainisha kuwa Maji ni pembejeo ya kilimo namba moja. Bila maji ustawishaji wa mimea ya aina yoyote na ufugaji wa aina yoyote hauwezekani. Matumizi ya aina mbalimbali za pembejeo za kilimo nyingine hutegemea kuwapo au kupatikana kwa maji ya kutosha na kwa wakati mwafaka. Kitabu kinaeleza vyanzo vikuu vya maji kwa ajili ya kilimo na njia mbalimbaliza umwagiliaji maji shambani.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU11

ISBN

978 9987 07 033 6

Publication Year

2010

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kilimo cha Umwagiliaji”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping