fbpx
Previous
Previous Product Image

Jifuze Kustawisha Minazi

Sh 4,000,000.00
Next

Jifunze Kustawisha Pareto

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Kilimo cha Pamba Tanzania

Sh 5,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 7 chapters:
1. Mchango wa Utafiti katika maendeleo ya kilimo cha pamba nchini
2. Hali ya uzalishaji wa Pamba nchini.
3. Mimea, Umuhimu, Mahitaji, Ukuaji na Kazi za Virutubisho.
4. Mahitaji, Matumizi na Dalili za Ukosefu wa Virutubisho.
5. Wadudu wa Pamba.
6. Magonjwa ya Pamba.
7. Kanuni Kumi za Kilimo Bora cha Pamba.

Brief Summary:
The book is about the History, Development, Research and Farming of Cotton in Tanzania.

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa pamba ilianza kuonekana kwa mara ya kwanza Tanganyika mwaka 1858 wakati Bwana John Speke alipokuwa katika safari yake ya kutoka Bagamoyo kwenda Ujiji, Kigoma. Lakini, Tanganyika (sasa Tanzania) ilianza kupanda Pamba mnamo mwaka
1900 na ilianza kuiuza nje ya nchi mwaka 1920. Takwimu za uzalishaji zinaonyesha kuwa mwaka 1922 marobota 7,250 yalipatikana.
Uzalishaji bora wa pamba ulianza Ukiriguru mwaka 1932 na mwaka 1947 ukaanza Ilonga. Kazi iliyofanywa na Vituo hivi viwili vya Utafiti ni kubwa na ya kusifika. Bila kutumia matokeo yao ya utafiti, pamba isingekuwapo nchini, hasa, kutokana na wadudu waharibifu ambao ni wengi na waharibifu kwelikweli.
Pamoja na hayo, uzalishaji kwa kila mpamba na kwa eneo bado uko chini kutokana na wakulima kutofuata sawasawa Kanuni kumi za kilimo bora cha pamba.
Natumaini kitabu hiki kitachangia kuongeza uzalishaji wa pamba nchini. Kisomeni na kitumieni ili kilete mapinduzi ya kilimo cha pamba nchini

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU36

ISBN

978 9987 07 022 0

Publication Year

2010

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kilimo cha Pamba Tanzania”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping