A. Outline of the book
This book, written in Kiswahili, has 25 Principle of Liver-Stock Husbandry.
Kitabu hiki, kinaeleza Kanuni 25 za Ufugaji Bora. Kama tunataka kuachana na umaskini, wakati wa kuendesha ufugaji kiholela umekwisha.Kinachotakiwa sasa ni kuendesha ufugaji kisasa nakibiashara. Kwa mfugaji, hii itawezekana tu kwa kujua na kuzingatia kanuni za Ufugaji bora. Kitabu hiki kitakuwa na msaada mkubwa kwa wasomaji wadogo na wakubwa, Maofisa Ugani, Wataalamu wa kilimo na Viongozi. Kisomeni.
Kanuni za Ufugaji Bora

You must be logged in to post a review.
Reviews
There are no reviews yet.