fbpx
Previous
Previous Product Image

Mgeni wa Bundi

Sh 3,000,000.00
Next

Mfalme wa Wanyama

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Kalamu ya Lili

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu
Kalamu ya Lili ni hadithi fupi inayowahusisha wanafunzi watatu walio katika Shule ya Msingi na Mwalimu wao. Wanafunzi hao ni Lili, Kindi na Karimu. Hadithi inaanza kwa Lili kupewa na baba yake fedha za kununulia Kalamu.
Lili alinunua Kalamu hiyo. Akaiweka katika mfuko wake akauweka darasani. Akiwa nje, Kindi alirudi darasani na kufungua mfuko wa Lili na kuiiba ile kalamu. Kizaazaa kikaanza kati ya hao watatu. Hatimaye Lili anarudishiwa kalamu yake. Kina michoro 16 yenye rangi nne.

Brief Summary
It is a story involving three pupils and their teacher. These pupils are Lili, Kindi and Karimu. The story starts by Lili receiving money form her father to buy a pencil which she puts in her school bag and goes to school. During the break, she leaves the bag in the classroom. While outside, Kindi returned to she classroom, opened Lili’s bag and stole the pencil. He then hid it under a mango tree. While doing that Karimu saw him. Later, Karimu went to steal it from the tree and hid it in a trench. At an appropriate time, when he thought no body was seeing him, Karimu went to the trench and picked the pencil. Unfortunately Kindi saw him and quarrel started between the two. On the other hand, earlier Lili noticed the pencil had been stolen and reported the incidence to teacher. Eventually, the pencil was returned to Lili.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Serapion Karoli

ISBN

978 9987 671 30 4

Publication Year

2013

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kalamu ya Lili”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping