fbpx
Previous
Previous Product Image

Kilimo Bora cha Alizeti

Sh 5,000,000.00
Next

Mwongozo wa Kilimo Bora cha Kahawa

Sh 5,000.00
Next Product Image

Kahawa Tanzania

Sh 5,000,000.00

(1 customer review)

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 38 chapters:
1. Kahawa: Familia, aina kuu na Kahawa ya Arabika
2. Asili na Kuenea kwa Kahawa ya Arabika Duniani
3. Kuingia na Kuenea kwa Kahawa ya Arabika Tanzania
4. Mmea, Asili na Kuenea kwa Kahawa ya Robusta Duniani
5. Tofauti kati ya Kahawa ya Arabika na Robusta
6. Faida za Zao la Kahawa na Faida na Hasara za unywaji
7. Nchi-Wazalishaji na Nchi-Waagizaji wa Kahawa Duniani
8. Vikwazo vya Uzalishaji wa Kahawa
9. Utafiti wa Kahawa
10. Usimamizi na Udhibiti wa Kilimo cha Kahawa
11. Kanuni za Kilimo Bora cha Kahawa
12. Mazingira yafaayo Kustawisha Kahawa
13. Uzalishaji Bora wa Kahawa na Njia Kuu za Kukuza Miche
14. Ukuzaji wa Miche inayotokana na Mbegu Kitaluni
15. Ukuzaji wa Miche inayotokana na Mbegu kwa njia ya Viriba
16. Uanzishaji wa Shambamama kwa ajili ya kupata vipingili vya Kukuzia Miche ya Vikonyo
17. Maana ya Miche ya Vikonyo, Upandikizaji na Ukuzaji wake shambani
18. Utayarishaji wa shamba, Upandikizaji na Utunzaji wa miche shambani
19. Matandazo katika shamba la kahawa
20. Ukarabati wa shamba la zamani lililokanda na Mbadilisho wa Mzunguko wa Kahawa Shambani
21. Upogoleaji na utengenezaji wa Umbo la Mbuni
22. Rutuba ya Udongo, Lishe ya Mibuni na Matumizi ya Mbolea
23. Upandaji na Utunzaji wa Miti ya kivuli katika Shamba la Kahawa: Faida na hasara zake
24. Umwagiliaji katika Shamba la Kahawa
25. Magugu na Udhibiti wake
26. Njia kuu za Kudhibiti Wadudu waharibifu na Magonjwa
27. Wadudu waharibifu na Udhibiti wake
28. Magonjwa na Udhibiti wake
29. Kanuni Salama za Hifadhi na Matumizi ya Viuatilifu
30. Uchumaji na Utayarishaji wa Kahawa
31. Utengaji wa Kahawa safi katika Madaraja
32. Ladha ya Kahawa na Uonjaji
33. Uzalishaji endelevu wa Kahawa
34. Kanuni za Uzalishaji wa Kahawa kibiashara
35. Mfumo wa Uuzaji wa Kahawa Duniani
36. Mfumo wa Uuzaji wa Kahawa Tanzania
37. Shirika la Kahawa Duniani
38. Changamoto na Mapendekezo

Brief Summary
The book is on How to Grow Coffee in Tanzania

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Kahawa Tanzania ni kitabu kinachoeleza asili na historia ya zao hili, kuenea kwake, aina za Kahawa, umbile la Mkahawa, ustawishaji wake, uchumaji na utengenezaji wa Kahawa.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU29

ISBN

978 9987 426 18 8

Publication Year

2016

1 review for Kahawa Tanzania

  1. prince wilbard

    it is real nice book

Add a review

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping