fbpx
Previous
Previous Product Image

Tusiwahukumu Changudoa

Sh 5,000,000.00
Next

Penzi Lililoponzwa

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Kabaka Mwanga na Wafiadini ya Ukristo, Uganda

Sh 5,000,000.00

Maelezo Mafupi ya Kitabu

Tamthilia hii ina mwelekeo wa habari zinazomhusu Mfalme (Kabaka) Mwanga II, ambaye alikuwa mmoja wa Wafalme Wakuu wa Buganda, nchini Uganda. Anakumbukwa sana kwa ajili ya maelekezo aliyoyatoa ya kuwatesa na kuwaua Waamini wapya na wa kwanza wa Dini ya Kikristo (Wakatoliki 22 na Wangalikana 23) nchini Uganda, kati ya tarehe 31 Januari, 1885 na 27 Januari, 1887. Kwa taratibu za dhehebu la Katoliki, wale wafia dini 22, sasa ni Watakatifu.
Hata hivyo, kama utakavyosoma katika tamthilia hii iliyofanyiwa uchunguzi wa kina, Mfalme Mwanga II, alifanya mengi zaidi ya hayo.
Katika tamthilia hii, kuna mchanganyiko wa habari za kubuniwa ambazo zinafikiriwa kuwa kweli, japokuwa zinaweza kuwa za ubunifu tu kwa namna fulani, sambamba na habari za matukio ya kweli, ili kukupatia wewe msomaji kitu kinachoweza kukiita Burudani ya kisiasa na kijamii.
Karibu kwenye Tamthilia hii.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Ahmed A. Mujaki

Language

Kiswahili

Part #

P32TEPU1

ISBN

978 9987 07 070 1

Publication Year

2019

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kabaka Mwanga na Wafiadini ya Ukristo, Uganda”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping