fbpx
Previous
Jipime katika Sayansi kwa Shule za Msingi: Maswali 1,016 na Majibu yake

Sh 5,000,000.00
Next

Get Ready for Standard Four English Examination

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Jizatiti Mitihani ya Sayansi, Darasa la 4

Sh 4,000,000.00

A. Outline of the book

The book, written in Kiswahili, has the following 13 chapters:
1. Uzazi na ukuaji katika mimea na wanyama
2. Unajimu
3. Miamba na madini
4. Udongo
5. Joto
6. Mwanga
7. Maada na hali zake
8. Hali ya hewa
9. Viumbe hai
10. Sura ya nchi, milima na mabonde
11. Lishe
12. Sauti
13. Sumaku na umeme

Brief Summary
This is an approved Science supplementary book suitable for std IV.

Maelezo mafupi ya Kitabu:
Jizatiti Mitihani ya Sayansi Darasa la Nne ni kitabu kilichoandaliwa ili kuwawezesha wanafunzi wa Darasa la Nne kufanya vizuri mitihani yao ya mwisho. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa umahiri na kwa kufuata muhtasari wa somo la Sayansi kwa Shule za Msingi .

Mada zote za Darasa la Tatu na la Nne zimetumiwa katika kuandaa mitihani iliyomo kitabuni. Mwanafunzi akifanya mitihani yote kwa makini atakuwa na uhakika wa kufaulu somo hili.
Kitabu kimepitiwa na walimu wazoefu wa somo hili na kuthibitishwa ubora wake. Ndani ya kitabu hiki kuna mitihani kumi na moja na mwishoni kuna majibu yatakayomwezesha mwanafunzi kusahihisha kazi yake. Mwanafunzi awe mwaminifu kwa kufanya mitihani yake bila kuangalia majibu.
Mitihani iliyomo imefuata muundo wa mitihani ya taifa. Hivyo, itamrahisishia mwanafunzi kufanya mtihani wowote bila kikwazo. Kila mwanafunzi anapaswa kufanya bidii katika kufanya mitihani mbalimbali ili kumwezesha kufaulu vizuri katika mtihani wa mwisho kwa kiwango chenye ubora na hatimaye kuwa mwanasayansi na mwanateknolojia wa taifa la kesho.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Denis H.E.Mangwela

Language

Kiswahili

Part #

P34TEPU14

ISBN

978 9987 426 01 0

Publication Year

2017

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jizatiti Mitihani ya Sayansi, Darasa la 4”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping