fbpx
Previous
Previous Product Image

Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi: Kiswahili

Sh 4,000,000.00
Next

Jitayarishe Kufaulu Elimu ya Msingi Katika HISABATI

Sh 5,000,000.00
Jitayarishe Kufaulu Elimu ya Msingi: HISABATI

Jizatiti Mitihani ya Hisabati, Darasa la 4

Sh 3,000,000.00

(2 customer reviews)

A. Outline of the book

The book, written in Kiswahili, has the following 3 chapters:
1. Maswali 56 na jinsi ya kuyakokotoa.
2. Majaribio 10 yenye maswali 25 kila jaribio.
3. Majibu ya Majaribio yote 10 yaliyotolewa katika Sura ya Pili

Brief Summary
This is an Approved Mathematics Supplementary book suitable for Std IV

Maelezo mafupi ya kitabu:
Ni kitabu kilichoandaliwa kulingana na muhtasari wa Hisabati, mtaala mpya, uliotolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mada zote zinazotakiwa kufundishwa kwa mwanafunzi wa Darasa la Kwanza hadi la Nne zimechambuliwa kwa undani na kwa makini. chini ili kumwezesha kushinda vizuri mitihani ya kuhitimu Darasa la

Nne na kumjengea hali ya udadisi na kujiamini katika kukokotoa maswali ya Hisabati.
Jumla ya maswali yote ni 250. Yametungwa katika mfumo kumwezesha Lengo ni kumjengea mwanafunzi msingi mzuri wa Hisabati tangu madarasa ya mwanafunzi kushinda mitihani iliyotungwa kulingana na muhtasari wa mtaala mpya, kiwango cha Darasa la Nne. Majibu ya Majaribio yote 10 yaliyotolewa katika Sura ya Pili, yameandikwa kama yanavyotakiwa kuandikwa na mwanafunzi.
Ili kupima ubora wa Majaribio yaliyotolewa, wanafunzi katika shule za Msingi kadhaa wilayani Karagwe wameyafanya. Tathimini ya matokeo ya kazi yao imethibitisha kuwa majaribio haya ni kipimo kizuri cha kupima kiwango cha uelewa wa mwanafunzi, hasa anayejiandaa kufanya mtihani wa mwisho wa Darasa la Nne.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Martiale K. Mbehoma & Dawson D. Mwesigwa

Language

Kiswahili

Part #

P34TEPU3

ISBN

978 9987 671 57 1

Publication Year

2007

2 reviews for Jizatiti Mitihani ya Hisabati, Darasa la 4

 1. NELSON JACKSON

  Jizatiti mitihani ya Hisabati Darasa la 4

  • prince wilbard

   Samahani kiongozi bado sijaelewa hitaji lako naomba ulifafanue zaid. je, unahitaji softcopy au hard copy?

 2. Mwl. Kasio

  nakihitaji nakipataje

  • prince wilbard

   Karibu sana Tanzania Educational Publishers Ltd,

   Kama unahitaji Hard copy(Printed Book) tunaomba tutumie Anuani yako, majina yako, Mawasiliano yako(namba ya simu) kwenye Email: tepultd@yahoo.com

   Au kama unahitaji soft copy unaweza kupakuwa hapa hapa kwenye mfumo wetu kwa kubofya kitufe cha “ADD TO CART” kisha jaza taarifa zako na kuchagua njia ya malipo

Add a review

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping