fbpx
Previous
Previous Product Image

Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi: Kiswahili

Sh 4,000,000.00

Jizatiti kwa Majaribio ya Mitihani ya Kiswahili

Sh 5,000,000.00

Jizatiti kwa Majaribio na Mitihani ya Kiswahili ni kitabu ambacho kimetayarishwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi walio katika miaka 2 hadi 3 ya mwisho ya kumaliza Elimu ya Msingi waweze kufaulu Majaribio na Mitihani mbalimbali ya Kiswahili.

Kitabu kina Majaribio/Mitihani Saba yenye jumla ya Maswali 350 na Majibu yake. Kila Jaribio/Mtihani una maswali yahusuyo Sarufi, Msamiati, Methali, Nahau, Vitendawili, Ufahamu na Utungaji.
Aidha, utungaji wa Majaribio na Mitihani hii umezingatia na kufuata mtindo wa utunzi wa Majaribio na Mitihani ya Kiswahili.

Kitabu hiki kitawafaa pia Watunzi wa Majaribio na Mitihani ya Kiswahili kwa Shule za Msingi na wale wote wanaofundisha somo hilo.
Pia, kitabu hiki kinafaa watu wote wanaojifunza au wanaojifundisha wenyewe Kiswahili.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

Bernard B. Bakalemwa

Language

Kiswahili

Part #

P34TEPU2

ISBN

978-9987-426-19-5

Publication Year

2010

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jizatiti kwa Majaribio ya Mitihani ya Kiswahili”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping