fbpx
Previous
Previous Product Image

Jizatiti Mitihani ya Hisabati, Darasa la 4

Sh 3,000,000.00
Next

Prepare Yourself to Pass STD 4 Examinations in Mathematics

Jitayarishe Kufaulu Elimu ya Msingi Katika HISABATI

Sh 5,000,000.00

A. Outline of the book

The book, written iniswahili has the following 4 chapters:
1. Kanuni za Hisabati: Namba, Sehemu, Desimali na Asilimia: Aljebra, Uwiano, Wastani, Mwendokasi, Umbali na Muda: Takwimu, Majira ya Nukta, Hesabu za Fedha na Biashara. Kanuni zote ambazo wanafunzi wa Shule za Msing wanatakiwa kuzitumia katika somo la Hisabati zimeonyeshwa na kufafanuliwa.
2. Maswali: Yapo maswali 120 na jinsi ya Kuyakokotoa.
3. Majaribio: Yapo majaribio 10 yenye maswali 500.
4. Majibu ya Maswali yaliyo katika Majaribio.

Brief Summary
It is a revision book on Mathematics Primary Schools

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Jitayarishe Kufaulu Elimu ya Msingi Katika HISABATI ni kitabu kilichoandaliwa na walimu ambao Wamefundisha somo hili kwa miaka mingi katika Shule za Msingi nchini. Kimezingatia Muhtasari wa Mtaala mpya uliotolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Kimeandaliwa maalumu na kwa namna ya pekee ili kuwawezesha wanafunzi wa Madarasa ya Tano, Sita na Saba kushinda mitihani ya aina mbalimbali katika somo hili, hasa ule wa kuhitimu elimu ya msingi.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Martiale K. Mbehoma & Dawson D. Mwesigwa

Language

Kiswahili

Part #

P34TEPU6

ISBN

978 9987 07 020 6

Publication Year

2012

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jitayarishe Kufaulu Elimu ya Msingi Katika HISABATI”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping