fbpx
Previous
Previous Product Image

Jifunze Kustawisha Viazi Vikuu

Sh 3,000,000.00
Next

Jifunze Kustawisha Viazi Mviringo

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Jifunze Kustawisha Viazi Vitamu

Sh 3,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 9 chapters:
1. Asili, aina, umbile na muundo wa mimea.
2. Matumizi ya Viazi Vitamu.
3. Mahitaji ya kimazingira ya Viazi Vitamu.
4. Mahitaji na matumizi ya mbolea katika ustawishaji wa Viazi Vitamu.
5. Utayarishaji wa mahali pa kupanda Viazi Vitamu.
6. Utayarishaji na uchaguzi wa vipando na jinsi ya kuvipanda.
7. Magonjwa ya Viazi Vitamu.
8. Visumbufu vingine vya Viazi Vitamu.
9. Uvunaji na Hifadhi ya Mavuno.

Brief Summary
The book is about Modern Ways of Growing Sweet Potatoes .

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Jifunze Kustawisha Viazi Vitamu ni kitabu kinachoeleza namna ya kustawisha zao hili. Viazi Vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Zao hili ni muhimu kwa chakula cha watu wengi duniani na mifugo. Mbali na kuwa chakula, vilevile, viazi vitamu ni zao la kinga ya njaa. Hukomaa haraka. Baada ya miezi minne unaweza kuanza kuvivuna. Ni matarajio yetu kuwa kitabu hiki kitawawezesha wakulima kuvuna tani 23 au zaidi za viazi vitamu kutoka hekta moja.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU22

ISBN

978 9987 426 34 8

Publication Year

2007

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Kustawisha Viazi Vitamu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping