fbpx
Previous
Previous Product Image

Jifunze Kustawisha Maharage ya Soya

Sh 3,000,000.00
Next

Jifunze Kustawisha Viazi Vitamu

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Jifunze Kustawisha Viazi Vikuu

Sh 3,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 7chapters:
1. Asili na aina za Viazi Vikuu.
2. Mzunguko wa maisha ya Viazi Vikuu.
3. Mahitaji muhimu ya kimazingira ili Viazi Vikuu viweze kustawi vizuri.
4. Upandaji.
5. Utunzaji wa Viazi Vikuu shambani.
6. Wadudu, Minyoo, Panya na Magonjwa.
7. Uvunaji na Hifadhi.

Brief Summary
The books is about Modern Ways of Growing Yams.

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Viazi vikuu ni jina la aina mojawapo ya mazao ambayo huthaminiwa kwa sababu ya viazi vyake. Kuna aina zaidi ya 600 za Viazi Vikuu. Lakini, kwa sasa aina maarufu ambazo hustawishwa kwa wingi duniani hazizidi kumi. Zao hili ni moja ya mazao maarufu duniani ambayo sehemu inayoliwa hukutwa ardhini na pengine hewani kwenye mashina. Ingawa viazi vikuu hustawishwa katika sehemu kadhaa za nchi yetu, si wananchi wengi wanaolielewa vizuri zao hili, na hasa ustawishaji wake na hifadhi ya mavuno. Kwa hiyo, madhumuni ya kitabu hiki ni kuwasaidia wakulima na Maofisa Ugani kulielewa vizuri zaidi, na hasa jinsi ya kulistawisha, kulivuna na kulihifadhi.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU21

ISBN

9789987426355

Publication Year

2012

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Kustawisha Viazi Vikuu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping