fbpx
Previous
Previous Product Image

Kilimo cha Pamba Tanzania

Sh 5,000,000.00
Next

Jifunze Kustawisha Mimea ya Matunda

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Jifunze Kustawisha Pareto

Sh 3,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 4 chapters:
1. Asili, Mmea, Umuhimu na Mazingira yanayofaa kulistawisha.
2. Utayarishaji wa miche, Uanzishaji na Utunzaji wa bustani.
3. Utayarishaji, Upandaji na Utunzaji wa shamba.
4. Ukomaaji, Uchumaji wa maua, Ukaushaji na Uuzaji

Brief Summary
It is about How to Grow Pyrethrum.

B. Maelezo mafupi ya kitabu:

Pareto ni zao la biashara. Umuhimu wa zao hili ni maua yake ambayo yana dutu za kemikali ziitwazo paretini. Paretini hupatikana baada ya maua yaliyokauka kusindikwa kiwandani. Kwa hiyo, kinachotafutwa katika pareto ni paretini tu. Paretini huuzwa kwa viwanda maalumu ambavyo huitumia kutengeneza bidhaa kadhaa ikiwa ni pamoja na dawa ya kuulia wadudu wa nyumbani, kama vile nzi, mbu, mende n.k.

Baada ya kuondoa paretini, hubaki makapi ya pareto. Makapi hayo yana protini kiasi cha asilimia 13. Kwa sababu hii, hutumika kulisha mifugo. Mikoa yenye mazingira mazuri kwa ustawishaji wa zao hili ni pamoja na Iringa, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Arusha na Kilimanjaro. Asilimia 90 ya pareto inayozalishwa nchini hutoka mikoa ya Kanda ya Kusini. Ubora na wingi wa mavuno ya pareto kwa eneo uko chini kwa sababu Kanuni Bora za Kilimo cha zao hili hazizingatiwi kikamilifu na wakulima.

Ni matumaini yangu kuwa kitabu hiki kitawasaidia Maofisa Ugani na wakulima kuongeza ubora wa mavuno, kuongeza mavuno kwa eneo na hatimaye wakulima wajipatie bei nzuri na mapato makubwa ili kuboresha maisha yao.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU37

ISBN

978 9987 07 025 1

Publication Year

2010

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Kustawisha Pareto”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping