fbpx
Previous
Previous Product Image

Jifunze Kustawisha Pareto

Sh 3,000,000.00
Next

Mazao ya Viungo

Sh 5,000.00
Next Product Image

Jifunze Kustawisha Mimea ya Matunda

Sh 5,000,000.00

A. Outline of the book
This book writen in Kiswahili , has 16 chapters:
1. Misingi mikuu ya kustawisha Mimea ya Matunda.
2. Ustawishaji wa Michungwa.
3. Ustawishaji wa Miembe.
4. Ustawishaji wa Minanasi.
5. Ustawishaji wa Mipapai.
6. Ustawishaji wa Migomba.
7. Ustawishaji wa Mipera.
8. Ustawishaji wa Miparachichi.
9. Ustawishaji wa Mibohora.
10. Ustawishaji wa Mlakwati mtomasi.
11. Ustawishaji wa Mitofaa.
12. Ustawishaji wa Mipea.
13. Ustawishaji wa Mipichi.
14. Ustawishaji wa Miplamu.
15. Ustawishaji wa Stroberi.
16. Ustawishaji wa Mizabibu.

Brief Summary:
The book is about How to Grow Different Kinds of Fruit Trees.

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Jifunze Kustawisha MIMEA YA MATUNDA ni kitabu kinachoelezea Misingi Mikuu na Namna ya kustawisha aina kuu za Mimea ya Matunda. Tunda ni zao la mmea linalohifadhi mbegu ambalo hutokana na ua. Baadhi ya aina za matunda ni chenza, chungwa, embe, fenesi, bibo, nazi, ndizi, nyanya, papai, parachichi, peasi, tikiti, tomoko, tufaha na zabibu. Kisome ili ujipatie maarifa ya kukuwezesha kupata matunda mengi na yaliyo bora kwa kila mmea. Lengo kuu ni kuwaongezea wakulima kipato na lishe bora.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU38

ISBN

978 9987 07 024 4

Publication Year

2015

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Kustawisha Mimea ya Matunda”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping