fbpx
Previous
Previous Product Image

Kilimo Bora cha Mahindi

Sh 4,000,000.00
Next

Jifunze Kustawisha Maharage ya Soya

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Jifunze Kustawisha Mbogamboga

Sh 5,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 13 chapters:
1. Mmea: Muundo sehemu kuu na kazi zake
2. Maana, Makundi na Faida za Mbogamboga
3. Zana, Vyombo na Vifaa vya Bustani na Utunzaji wake
4. Uchaguzi wa sehemu ya Kitalu, Bustani na utayarishaji wake
5. Utengenezaji wa Matuta na Mifereji ya Bustani
6. Mbolea: Lishe ya Mimea
7. Mbegu
8. Upandikizaji Miche katika Bustani
9. Utunzaji wa Mimea katika Bustani
10. Mbadilisho wa Mazao
11. Wadudu Waharibifu na Magonjwa
12. Mbogamboga za Matunda
13. Mbogamboga za Maboga

Brief Summary:
The book is about Modern Ways of Growing Vegetables. It also educates about safe ways of using and keeping plant chemicals including insecticides.

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Kitabu hiki kimeandikwa ili kiwasaidie Wakulima, Maofisa Ugani, Wanafunzi na Wanavyuo kuanzisha aina mpya ya kilimo, yaani, Ustawishaji wa Mbogamboga. Kutokana na wingiwa aina za mbogamboga zilizopo, kitabu kimeandikwa kwamuhtasari. Hata hivyo, hatukuweza kueleza kilimo cha aina zote za mboga. Zipo chache ambazo zimeachwa. Kitabu kimegawanywa katika sehemu mbili: Sehemu ya Kwanza inaeleza Misingi ya Kustawisha Mbogamboga. Sehemu ya Pili inaeleza Ustawishaji wa Aina mbalimbali za Mbogamboga. Kila sehemu imegawanywa katika sura kadhaa. Sehemu ya Kwanza ina sura tisa na Sehemu ya Pili ina sura sita. Mwishoni mwa kila sura yapo Maswali ya kumsaidia msomaji ajipime kama ameielewa vizuri sura hiyo. Kuna nyongeza mbili. Nyongeza ya Kwanza ni Orodha ya Viuatilifu (dawa) vya kuua wadudu waharibifu wa mimea ya mazao na maelezo ya namna vinavyoua. Nyongeza ya Pili inaeleza Kanuni za Kiusalama za Kuhifadhi na kutumia Viuatilifu vya kudhibiti Magonjwa na Wadudu wa mimea. Ustawishaji wa Mbogamboga ni aina ya kilimo inayoweza kumwingizia mkulima mapato makubwa ndani ya kipindi kifupi.
Natumaini kuwa kitabu hiki kitasaidia kufanya lishe ya wananchi kuwa nzuri zaidi.
Aidha, kitasaidia kuongeza mapato ya wakulima na ya taifa.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU19

ISBN

978 9987 426 31 7

Publication Year

2014

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Kustawisha Mbogamboga”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping