fbpx
Previous
Previous Product Image

Kudos President Magufuli

Sh 5,000,000.00
Next

Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Heko Rais Magufuli

Sh 5,000,000.00

Kimsingi, kitabu hiki ni kama “barua ya wazi” kwa watu wote, kuhusu Rais John Pombe Magufuli, ambayo kwayo mtunzi wake Ndugu Nkwazi Mhango, ameweka bayana rai za kutoka ndani ya moyo wake, akieleza ni jinsi gani anavyoridhishwa na kazi za uongozi anazofanya Mheshimiwa Magufuli, Rais wa awamu ya tano ya uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini, sambamba na hilo, mwandishi huyu pia ametoa ushauri wake binafsi kwa Rais, kuhusu mambo yale ambayo yeye anaona kuwa yanafaa kwa Rais kuyafanya, au kuepuka kuyafanya.
Kinachopendeza zaidi, ni kwamba mwandishi ametoa mawazo yake hayo kwa njia ya kuvutia sana, alipotumia staili ya uandishi wa tenzi au shairi, ambayo kwa hakika imeongeza utamu na kusababisha raha zaidi kwa msomaji.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Nkwazi Nkuzi Mhango

Language

Kiswahili

Part #

P1TEPU2

ISBN

978 9987 07 091 6

Publication Year

2018

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Heko Rais Magufuli”

You may also like…

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping