fbpx
Previous
Previous Product Image

Sheria ya Mirathi: Haki za Wajane na Watoto

Sh 5,000,000.00
Next

MIGOGORO YA NDOA NA USULUHISHI WAKE: Wajibu wa Bodi za Usuluhishi wa Ndoa

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Haki za Watoto na Wazazi Pamoja na Makosa ya Kujamiiana

Sh 5,000,000.00

Maelezo mafupi:
Kitabu hiki kinahusu mambo makuu matatu, yaani:
• Haki za Watoto walizaliwa ndani na nje ya ndoa. Aidha, ameeleza dhana ya ndoa, maana na sifa zake, taratibu za kufuata hadi kufikia kufunga ndoa na watu wanaoweza kuoana.
• Haki za Wazazi walio na wasiokuwa ndani ya ndoa.
• Makosa ya Kujamiana na adhabu zake.
Mwandishi (pichani) wa kitabu hiki ni Wakili na Mwandishi wa vitabu vingi juu ya Haki za kisheria za Wananchi.
Elimu iliyo kitabuni itawasaidia Watoto, Wazazi walio na wasiokuwa ndani ya ndoa, Wanasheria, Mawakili, Wanaharakati na Watu wote ambao wangependa kujua Haki za Watoto na Wazazi na Makosa ya Kujamiana na Adhabu zake.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

A.K. Chamani

Language

Kiswahili

Part #

P27TEPU2

ISBN

978 9987 07 087 9

Publication Year

2018

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Haki za Watoto na Wazazi Pamoja na Makosa ya Kujamiiana”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping