fbpx
Previous
Previous Product Image

Saa ya Ukombozi

Sh 8,000,000.00
Next

Kuvunjika kwa Koleo si Mwisho wa Uhunzi

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Dhuluma ya Haki

Sh 5,000,000.00

Maelezo Mafupi ya Kitabu

Mazingira ya kitabu hiki ni nchini Uganda. Dhuluma ya Haki ni riwaya ambayo mwandishi ameibuni kwa umakini wa hali ya juu, kwani amewatumia wahusika kwa kuwapatia tabia mbalimbali zinazosawiri maisha halisi ya nchi nyingi za Bara la Afrika na dunia nzima kwa ujumla.

Hii ni riwaya nzuri inayoelezea waziwazi juu ya viongozi wa umma ambao wanatumia nafasi za uongozi pamoja na utajiri wao kudhulumu haki za watu wanaowaongoza wenye kipato cha chini, yaani, wanyonge, badala ya kujikita katika kupigania na kulinda haki zao na kuwashirikisha katika kujiletea maendeleo na kutetea haki zao.

Aidha, mwandishi anakemea tabia hii ya Dhuluma ya Haki ya Wananchi na kudhihilisha kuwa haki ya mtu haiishi bali inaishi.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Additional information

Book Author

Ahmed A. Mujaki

Part #

P31TEPU2

ISBN

978 9987 07 072 5

Publication Year

2019

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Dhuluma ya Haki”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping