fbpx
Previous
Previous Product Image

THE ROAD TO SUCCESS: A Practical Handbook for Development Practitioners (The NGO Perspective)

Sh 8,000.00
Next

Mwanzo na Mwisho wa Uongozi wa Kisiasa

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Changamoto za Maendeleo ya Mkoa wa Kagera

Sh 5,000,000.00

Brief Summary
This book is about the Challenges of Development in Kagera Region.

Maelezo mafupi ya kitabu:
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa Hotuba 54 na Salaam 21 za Heri na Baraka za Iddi, Noeli na Mwaka Mpya alizozitoa mwandishi alipokuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ziwa Magharibi / Kagera kwa vipindi vitano vyenye miaka 25 (1977 – 1997 na 2002 – 2007). Alianza uongozi huo 21/9/1977 akiwa na miaka 34 ya kuzaliwa na kung’atuka 10/9/2007 akiwa na miaka 64. Kipindi cha 1995 – 2000 alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ngara. Uongozi wake wa kisiasa ulianzia kwenye Uenyekiti wa Tawi la TANU, 1974.
Kitabu hiki si kumbukumbu tu, bali yaliyomo bado yana umuhimu wake, hata sasa na utekelezaji wake bado haujakamilika. Kitabu hiki ni rejea muhimu na ni cha lazima kwa wanasiasa wa nchi hii na Watanzania kwa jumla.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P12TEPU1

ISBN

978 9987 07 006 0

Publication Year

2015

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Changamoto za Maendeleo ya Mkoa wa Kagera”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping