fbpx
Previous
Previous Product Image

Mkasa Ulioleta Neema

Sh 3,000,000.00
Next

Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Bila Hiyari Yangu

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu

Bila Hiyari yangu, inaeleza kisa cha mwanafunzi wa Darasa la Nne, Paulina, ambaye baba yake mzazi na mjomba wake walisuka mpango wa kumwozesha kwa nguvu, bila yeye na mama yake mzazi kuhusishwa wala bila hiyari yake. Mahari ya ng’ombe kumi ililipwa na kutumiwa na baba na mjomba wake kwa ulevi. Siku ya harusiilipofikia, Paulina alidakwa na vijana wa kukodi alipokuwa anatoka shule na kupelekwa nyumbani kwa mumewe mtarajiwa. Lakini, kabla mambo hayajaharibika, walimu wake na wanakamati walimuwahi Paulina.Wakawapeleka mahakamani baba, mjomba, mume mtarajiwa na wale vijana waliomkamata kwa nguvu na huko mahakamani wakapewa adhabu ya kifungo cha miaka thelathini. Paulina anaendelea na shule.

Brief summary
History is about a father who arranged marriage to her daughter without her consent.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Salvatory Kaijunga

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU31

ISBN

978 9987 671 78 6

Publication Year

2011

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Bila Hiyari Yangu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping