fbpx
Previous
English Primer, Second Step

English Primer, Second Step

Sh 3,000,000.00
Next

Sisi ni Herufi – Hatua ya Kwanza

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Alfabeti Yetu

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni kitabu chenye michoro ya rangi nne kinachomfundisha mwanafunzi wa Shule ya Awali na wa Darasa la Kwanza kuona na kujifunza kuandika na kusoma alfabeti kwa herufi kubwa na ndogo. Kila ukurasa mmoja unahusu alfabeti moja tu. Kwa mfano, ukurasa wa tatu wa kitabu hiki ni wa alfabeti A (kwa herufi kubwa) na a (kwa herufi ndogo). Aidha, kwenye ukurasa huo ipo michoro mitatu ya rangi na majina yake yanayoanzia na herufi a, yaani, ala, andazi na askari. Hali ni hivyo kwa alfabeti nyingine zinazofuata.

Brief Summary
It is about the Alphabet.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni kitabu chenye michoro ya rangi nne kinachomfundisha mwanafunzi wa Shule ya Awali na wa Darasa la Kwanza kuona na kujifunza kuandika na kusoma alfabeti kwa herufi kubwa na ndogo. Kila ukurasa mmoja unahusu alfabeti moja tu. Kwa mfano, ukurasa wa tatu wa kitabu hiki ni wa alfabeti A (kwa herufi kubwa) na a (kwa herufi ndogo). Aidha, kwenye ukurasa huo ipo michoro mitatu ya rangi na majina yake yanayoanzia na herufi a, yaani, ala, andazi na askari. Hali ni hivyo kwa alfabeti nyingine zinazofuata.

Brief Summary
It is about the Alphabet.

Additional information

Book Author

Rachael W. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P33TEPU1

ISBN

978 9987 671 67 0

Publication Year

2013

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Alfabeti Yetu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping