fbpx
Previous
Previous Product Image

Neema

Sh 3,000,000.00
Next

Mapambano

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Acha Kulia Ovyo

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu

Kinamwonyesha mtoto Kapipi mwenye tabia ya kulia ovyo. Hulia bila sababu. Tabia hii ya kujiliza ovyo iliwaudhi marafiki zake, majirani na hata mama yake mzazi. Hatimaye wakaizoea. Hata hivyo, siku moja alivamiwa na mbwa akitaka kumuuma. Akalia kuomba msaada. Awali mama yake alidhani ni tabia yake ya kujiliza ovyo. Kumbe safari hii kuna shida ya kweli.

Brief Summary
The book is a story about Kapipi, a child who used to cry unnecessarily. Due to her habit, Kapipi was nearly injured by a dog. At first, her mother ignored her when she heard Kapipi crying for help. She thought it was her usual habit of crying without valid reason.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Serapion Karoli

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU16

ISBN

978 9987 671 36 6

Publication Year

2013

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Acha Kulia Ovyo”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping