Animal Rearing
Ufugaji Bora wa Ng’ombe wa Maziwa
Sh 20,000
A. Outline of the book The book, written in Kiswahili, has the following 12 chapters: 1. Ng’ombe wa maziwa na Ng’ombe wa asili. 2. Maandalizi ya kulima nysi za ng’ombe. 3. Ujenzi wa zizi. 5. Udhibiti wa ng’ombe. 6. Malisho. 7. Uzalishaji. 8. Matunzo ya ndama. 9. Zao la maziwa. 10. Magonjwa. 11. Takwimu. 12. Kuboresha mazingira kwa kutumia mifugo....
Magonjwa ya Mifugo
Sh 15,000
A. Outline of the book The book, written in Kiswahili, has the following 7 Chapters: 1. Magonjwa ya Mifugo. 2. Njia za kuzuia maambukizi ya magonjwa. 3. Magonjwa ya Ng’ombe. 4. Magonjwa ya Kuku. 5. Magonjwa ya Mbuzi. 6. Magonjwa ya Sungura. 7. Magonjwa ya Nguruwe. Brief Summary It is about the Diseases of Livestock B. Maelezo mafupi ya kitabu:...
Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe
Sh 15,000
A: Outline of the book The book, written in Kiswahili, has the following 11 chapters: 1. Asili, aina, faida, mifumo, njia za ufugaji na vipingamizi vya ufugaji. 2. Uchaguzi makini wa wazazi, kupandwa na kutunza nguruwejike mwenye mimba na kuzaa. 3. Utunzaji wa vibwagara hadi kulikiza. 4. Ukuzaji na Unenepeshaji wa nguruwe wadogo kuanzia kulikiza hadi kuuzwa. 5. Ulishaji wa...
Ufugaji Bora wa Sungura
Sh 13,000
A: Outline of the book The book, written in Kiswahili, has the following 9 chapters: 1. Asili, Makundi, Aina, Faida na Vipingamizi vya Ufugaji. 2. Ujenzi wa Nyumba na Virimba vya kufugia. 3. Ulishaji na Mahitaji ya Vyakula. 4. Uzalishaji na Malezi ya Watoto. 5. Tabia Maalumu za Sungura. 6. Njia za kuzuia Sungura Wasiambukizwe Magonjwa na Wasishambuliwe na Vimelea...
Kanuni 13 za Kuzalisha Ngozi Bora
Sh 12,000
Maelezo mafupi ya kitabu: Kitabu kinahusu Kanuni 13 za kuzalisha Ngozi bora. Brief Summary The book hsa 13 Principles of Producing good hides and skins.
Malisho ya Mifugo
Sh 12,000
A. Outline of the book The book, written in Kiswahili, has the following 17 chapters: 1. Maana na Aina za malisho. 2. Lishe ya Mifugo. 3. Nyanda za Malisho ya Asili na Uboreshaji wake. 4. Malisho ya kupanda. 5. Utengenezaji wa Nyasikavu. 6. Utengenezaji wa Sileji. 7. Uboreshaji wa Masalio ya mimea. Brief Summary It is about Pastures for Livestock....
Kutoka Uchungaji Kwenda Ufugaji
Sh 13,000
A. Outline of the book The book, written in Kiswahili, has the following 4 chapters: 1. Hali ya Uchungaji ilivyo nchini. 2. Nyanda za malisho ya asili nchini na uboreshaji wake. 3. Mambo muhimu ya kufikiria kabla ya kuamua kuanza ufugaji. 4. Maana ya ufugaji na kanuni za ufugaji bora. Brief Summary The book is about Traditional Versus Modern Livestock...
Kanuni za Ufugaji Bora
Sh 12,000
A. Outline of the book This book, written in Kiswahili, has 25 Principle of Liver-Stock Husbandry. Kitabu hiki, kinaeleza Kanuni 25 za Ufugaji Bora. Kama tunataka kuachana na umaskini, wakati wa kuendesha ufugaji kiholela umekwisha.Kinachotakiwa sasa ni kuendesha ufugaji kisasa nakibiashara. Kwa mfugaji, hii itawezekana tu kwa kujua na kuzingatia kanuni za Ufugaji bora. Kitabu hiki kitakuwa na msaada mkubwa...