TEHAMA kwa Shule za Msingi, Kitabu cha Marejeo kwa Walimu wa Shule za Msingi na Walimu Tarajali katika Vyuo vya Walimu

TEHAMA kwa Shule za Msingi, Kitabu cha Marejeo kwa Walimu wa Shule za Msingi na Walimu Tarajali katika Vyuo vya Walimu

4.0
  • AuthorElias Zachariah Maguttah
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2007

Dunia katika karne ya ishirini na moja (21) imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile: elimu, teknolojia, siasa na uchumi. Nchi nyingi hasa zinazoendelea, zimekuwa zikijaribu kutafuta ni kwa namna gani zinaweza kukabiliana na hali hiyo. Mojawapo ya jitihada hizo ni kuangalia mifumo ya elimu ili kuweza kubaini mianya iliyopo ambayo inaweza kurekebishwa zaidi, ili kuziwezesha kutoa elimu inayoendana na mabadiliko haya kwa wananchi wake.

Pay with DPO

dpo

Book Title TEHAMA kwa Shule za Msingi, Kitabu cha Marejeo kwa Walimu wa Shule za Msingi na Walimu Tarajali katika Vyuo vya Walimu
Author Elias Zachariah Maguttah
ISBN 978 9987 426 03 4
Ediiton Language KISWAHILI
Date Published 2007-10-12
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 97
Chapters 7

Related Books

Usalama Mitandaoni Udhibiti na Udukuzi wa Mitandaoni
Usalama Mitandaoni Udhibiti na Udukuzi wa Mitandaoni
  • TEHAMA KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View

125,663

Happy Customers

50,672

Book Collections

1,562

Our Stores

457

Famous Writers