Change Language
TEPU Downloads
User Options

Order Book at: $6, Tshs 15,000/=  


You can Read this Book at:


Tshs 5000/- to MPESA   


Tshs 5000/- to AIRTEL MONEY  


Tshs 5000/- to TIGO PESA  


$4 MASTERCARD/VISA-CARD  


BRIEF BOOK SUMMARY:
Penzi Lililopozwa ni riwaya iliyosukwa kwenye mazingira ya jiji la Kigali, Rwanda, ambayo iliandikwa miaka ya 1970 kabla ya simu za mkononi kuanza kutumika katika nchi zetu za Afrika Mashariki. Riwaya, kama jina lake lilivyo, inaonyesha jinsi penzi kati ya Mvulana na Msichana lilivyoponzwa kwa msichana kumsaliti mchumba wake ambaye alikuwa anasoma nje ya nchi. Riwaya inasikitisha, lakini, ina mafunzo mengi kwa vijana wa rika zote.