Change Language
TEPU Downloads
User Options

Order Book at: $9, Tshs 22,500/=  


You can Read this Book at:


Tshs 10000/- to MPESA   


Tshs 10000/- to AIRTEL MONEY  


Tshs 10000/- to TIGO PESA  


$10 MASTERCARD/VISA-CARD  


BRIEF BOOK SUMMARY:
Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuwalenga watu wa ndani ya nchi na wageni wanaokijua Kiingereza vizuri, lakini, wana hamu/wanahitaji kujua Kiswahili. Lugha hii kwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu milioni 140 duniani. Lakini, hata watu wanaokijua Kiswahili, wanakihitaji kitabu hiki, ili, na wao waweze kuandika na kuzungumza Kiswahili sanifu. Kumbuka kwamba si kila mtu anayezungumza, anayeongea na kuandika Kiswahili, anajua lugha hii kwa ufasaha. Kitabu hiki kitawasaidia watu kuongea na kuandika Kiswahili fasaha. Aidha, kitabu hiki kitawaongezea msamiati wa Kingereza watu wanaojua Kiswahili, lakini, hawajui maneno mengi ya Kingereza.