Change Language
TEPU Downloads
User Options

Order Book at: $4, Tshs 10,000/=  


You can Read this Book at:


Tshs 5000/- to MPESA   


Tshs 5000/- to AIRTEL MONEY  


Tshs 5000/- to TIGO PESA  


$2 MASTERCARD/VISA-CARD  


BRIEF BOOK SUMMARY:
Tanzania ina Mbuga za Wanyama zaidi ya 16 ambazo ni Arusha, Hombe, Katavi, Kitulo, Ziwa Manyara, Mahale. Nyingine ni Mkomazi, Mikumi, Mlima Kilimanjaro, Rubondo, Ruaha, Saadani, Serengeti, Tarangire, Milima ya Udzungwa na Kisiwa cha Saanane. Katika kitabu hiki, Mbunga ya Wanyama iliyotembelewa ni Serengeti, nchini Tanzania, ambayo ilianzishwa 1959. Eneo lake ni km. 14,763. Ni kilometa 335 kutoka Jiji la Arusha, ikipakana na Kenya upande wa Kaskazini na Ziwa Victoria upande wa Magharibi. Mbuga hii ina aina mbalimbali za wanyama, kama vile, nyumbu, simba, twiga, chui, nguruwemwitu, pundamilia, swala, mbawala, tembo, nyati, vicheche, nungunungu na wengine. Aidha, zipo aina mbalimbali za ndege na wadudu. Hiki ni kitabu kizuri sana kwa watoto na wanafunzi ili wapate elimu juu ya Utalii wa Ndani, mbuga zetu za wanyama, umuhimu wake kwa taifa na umuhimu wa kuwatunza na kuwalinda wanyama, ndege na wadudu waliomo.