Change Language
TEPU Downloads
User Options

Order Book at: $4, Tshs 10,000/=  


You can Read this Book at:


Tshs 5000/- to MPESA   


Tshs 5000/- to AIRTEL MONEY  


Tshs 5000/- to TIGO PESA  


$4 MASTERCARD/VISA-CARD  


BRIEF BOOK SUMMARY:
Silaha 100 za Kiongozi, ni silaha za aina ya pekee na ni maalumu. Hizi ni tofauti kabisa na silaha tulizozioea kuziona au kuzisikia. Silaha hizi zimetengenezwa ili zimsaidie Kiongozi kumlinda dhidi ya mashambulizi kutoka kwa “maadui” wake. Katika kitabu hiki, neno kiongozi, linajumlisha viongozi wa familia, siasa, serikali, dini, kazi, ushirika, taasisi za serikali, mashirika ya umma, makampuni na wengine. Viongozi hawa wote wanapigwa vita vya kila namna, kwa hiyo ili waendelee kuongoza, wanahitaji kuwa na silaha za kujilinda. Vita hivi vinatoka kwa viongozi wenzao, kwa watu wanaowaongoza na hata watu wasiowaongoza. Vita vita na ni vya kweli. Asipopigana kwa kutumia silaha hizi ataangamia.